frankkimaro.blogspot.com
Journalism in blood: VIDEOS
http://frankkimaro.blogspot.com/p/videos.html
Frank Kimaro run this blog. COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH. Subscribe to: Posts (Atom). There was an error in this gadget. View my complete profile. There was an error in this gadget. Promote Your Page Too. 07/03 - 07/10 (5). 08/07 - 08/14 (2). 08/21 - 08/28 (1). 09/04 - 09/11 (1). 09/18 - 09/25 (2). 09/25 - 10/02 (2). 10/02 - 10/09 (1). 10/23 - 10/30 (2). 10/30 - 11/06 (4). 11/06 - 11/13 (4). 11/13 - 11/20 (6). 11/20 - 11/27 (4). 11/27 - 12/04 (2). Snoop Do...
frankkimaro.blogspot.com
Journalism in blood: 2013-03-03
http://frankkimaro.blogspot.com/2013_03_03_archive.html
Frank Kimaro run this blog. Yaliyojiri kwenye Kili Marathon leo. Baadhi ya wacheza muziki wa dance wakionesha vitu vyao. Jamaa alikamatwa baada ya kumshika mke wa mtu makalio. Watoto wa kichaga wakimwaga radhi. Baadhi ya wakazi wa Moshi wakishuhudia show. Mshindi wa kike katika mashindano ya kucheza akiwa anaonesha vitu vyake. Uzalendo ukamshinda huyu mshikaji akamua kufanya kitu cha ajabu. Jamaa akiwa anacheza nyimbo ya chapia kwa kutumia baiskeli. Subscribe to: Posts (Atom). View my complete profile.
mgangathegreat.blogspot.com
MWANAHABARI HALISI: Wakaazi wa Iringa wamlilia Mr.Ebbo.
http://mgangathegreat.blogspot.com/2011/12/wakaazi-wa-iringa-wamilia-mrebbo.html
Sunday, December 4, 2011. Wakaazi wa Iringa wamlilia Mr.Ebbo. Wakazi wa mkoa wa Iringa na vitongoji vyake,wameeleza hisia zao kwa masikitiko kufuatiwa kifo cha msanii wa nyimbo za bongo fleva,mtayarishaji na mmiliki wa studio ya Motika record iliyoko mkoaniTanga Abel Motika almaarufu kama Mr.Ebbo. 8220;Sisi wakazi wa Iringa tumepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kifo cha msanii huyu maarufu kipenzi cha watanzania na kwa kweli kifo chake ni pigo kubwa sana kwa taifa letu kwani alikuwa ni mhamasi...
mgangathegreat.blogspot.com
MWANAHABARI HALISI
http://mgangathegreat.blogspot.com/2012/06/mwenyekiti-wa-kwaya-ya-mt.html
Saturday, June 23, 2012. Mwenyekiti wa kwaya ya Mt.Jerome akinena jambo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wanakwaya wa mwaka wa tatu ambaowanakaribia kumaliza chuo. Subscribe to: Post Comments (Atom). Miaka hamsini ya uhuru tutamkumbuka Rais Kikwete kwa kuimarisha miundombinu ya barabara. Miundombinu ya kisasa itapandisha hadhi vyuo vyetu Iringa. Na;John Alex. Mwaka jana nilibahatika kutembelea vyuo vikuu vya Mkwawa, Ruaha na Tumaini niliko sasa, hapa mkoani Iringa kuj. Na John Alex. Muitikio mdogo w...
mgangathegreat.blogspot.com
MWANAHABARI HALISI
http://mgangathegreat.blogspot.com/2012/06/karibia-mitihani-huwa-na-foleni-kubwa.html
Friday, June 15, 2012. Karibia mitihani huwa na foleni kubwa sana kwa mhasibu kwa waliochelewa kulipa ada.Hawa ni sehemu ya foleni kwa mhasibu Makuhana chuoni Tumaini. Subscribe to: Post Comments (Atom). Miaka hamsini ya uhuru tutamkumbuka Rais Kikwete kwa kuimarisha miundombinu ya barabara. Miundombinu ya kisasa itapandisha hadhi vyuo vyetu Iringa. Na;John Alex. Mwaka jana nilibahatika kutembelea vyuo vikuu vya Mkwawa, Ruaha na Tumaini niliko sasa, hapa mkoani Iringa kuj. Na John Alex. Muitikio md...
mgangathegreat.blogspot.com
MWANAHABARI HALISI: Miundombinu ya kisasa itapandisha hadhi vyuo vyetu Iringa.
http://mgangathegreat.blogspot.com/2012/06/miundombinu-ya-kisasa-itapandisha-hadhi.html
Friday, June 15, 2012. Miundombinu ya kisasa itapandisha hadhi vyuo vyetu Iringa. Nilibahatika kutembelea vyuo vikuu vya Mkwawa, Ruaha na Tumaini niliko sasa, hapa mkoani Iringa kujionea hali ya vyuo hivyo vinavyotoa elimu ya juu nchini.Sikupita kimya kimya ila nilipata fursa ya kuongea na baadhi ya wadau wa vyuo hivyo vikuu. Katika kukabiliana na changamoto zinazowakabili kama taasisi ya kijamii. Tutafanyaje na wakati hatujajipanga? Wengine nao karibu asilimia 55 ya wanafunzi wanaishi nje ya chuo na huk...
mgangathegreat.blogspot.com
MWANAHABARI HALISI: Hatimae Mwanahabari Jerry Murro aachiwa huru.
http://mgangathegreat.blogspot.com/2011/12/hatimae-mwanahabari-jerry-murro-aachiwa.html
Thursday, December 1, 2011. Hatimae Mwanahabari Jerry Murro aachiwa huru. Aliyekuwa mtangazaji wa TBC Jerry Murro akitoka nje ya mahakama baada ya kushinda kesi iliyokuwa ikimkabili.(picha na www.globalpublisher.co.tz). Katika kesi hiyo ilikuwa inadaiwa kuwa Januari 29 mwaka jana, Muro na wenzake walitenda makosa ya kula njama, kushawishi kupewa rushwa ya Sh 10 milioni kutoka kwa aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Michael Wage na kujitambulisha kuwa ni maofisa wa Takukuru. Alisema hat...
mgangathegreat.blogspot.com
MWANAHABARI HALISI
http://mgangathegreat.blogspot.com/2012/06/hapa-nipo-na-kijana-wangu-ambaye.html
Saturday, June 23, 2012. Hapa nipo na kijana wangu ambaye anaamini katika kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma.Solomon Lekui Kulia kushoto ni John Alex(MWANAHABARI HALISI). Subscribe to: Post Comments (Atom). Miaka hamsini ya uhuru tutamkumbuka Rais Kikwete kwa kuimarisha miundombinu ya barabara. Miundombinu ya kisasa itapandisha hadhi vyuo vyetu Iringa. Na;John Alex. Mwaka jana nilibahatika kutembelea vyuo vikuu vya Mkwawa, Ruaha na Tumaini niliko sasa, hapa mkoani Iringa kuj. Na John Alex. Muit...
mgangathegreat.blogspot.com
MWANAHABARI HALISI: Hatujadhamiria kupambana na umasikini nchini.
http://mgangathegreat.blogspot.com/2012/06/hatujadhamiria-kupambana-na-umasikini.html
Friday, June 15, 2012. Hatujadhamiria kupambana na umasikini nchini. 8220;Kama kila mmoja wetu angefagia nje kwake basi bila shaka dunia nzima ingekuwa safi”Haya ni maneno ya mtawa mmoja wa dini ya kikristo kutoka dhehebu la katoliki ajulikanae kwa jina la mama Theresa aliyewahi kuishi huko barani Asia nchini India,maneno ambayo leo nimeona nianze nayo. Mijini basi napendelea wale waishio uswahilini maeneo ambayo ndio yanatoa taswira ya maisha halisi ya mtanzania.Achana na wale waishio mitaa ya. Nako kun...
mgangathegreat.blogspot.com
MWANAHABARI HALISI: Muitikio mdogo wa wananchi:Kikwazo kwa miradi ya waitaliano Iringa.
http://mgangathegreat.blogspot.com/2011/12/muitikio-mdogo-wa-wananchikikwazo-kwa.html
Saturday, December 17, 2011. Muitikio mdogo wa wananchi:Kikwazo kwa miradi ya waitaliano Iringa. Muitikio mdogo wa wananchi wa wa Iringa katika shughuli za miradi mbalimbali zinazofanywa na mashirika yasiyo ya kiserikali yanayoendesha shughuli zake kwa ufadhili wa watu wa Italia ni changamoto kubwa inayoyakabili mashirika hayo. 8220;Kumekuwa na muitikio mdogo sana wa wananchi katika shughuli zinazofanywa na miradi mbalimbali ya shirika letu la Call Africa kwa mfano akina mama wamekuwa wakikata tama katik...
SOCIAL ENGAGEMENT