watotopemba.blogspot.com
education: VITA VYA YEMEN
http://watotopemba.blogspot.com/2010/02/vita-vya-yemen.html
Education is a key of life. Thursday, 11 February 2010. Watu wapatao 180,000 wamefariki dunia kupitia vita vya Irq na Iran huko nchini Yemen . Vita hivyo vilichangiwa na viongozi ambao ni Al-Majid Chemical Ali na Sadam Husein mnamo tarehe 25 January 2010. Vita hivyo vilipigwana baada ya kuonekana watu wa nchi ya Amerika na Uingereza kufungua ubalozi wao katika nci ya Yemen. Kuona hivyo makundi ya Alqaida na Sadam Husein waliamua kuanzisha vita na kupotaza maisha ya walio wengi. View my complete profile.
mamaiptyfahad.blogspot.com
remember first
http://mamaiptyfahad.blogspot.com/2010/02/o-n-tuesday-9-february-2010-we-visited.html
Tuesday, 9 February 2010. O n Tuesday 9 February 2010 we visited different websites and see the use of internet in different countries where Asia is leading worldwide and Egypt is the first in African continent. Africa in generally has been tripled the use of internet in three years time. Also we find that internet is a very good tool in everyday journalism and a big source of information. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. On Friday 12 February we completed the training by.
mamaiptyfahad.blogspot.com
remember first
http://mamaiptyfahad.blogspot.com/2010/02/remember-first-my-name-is-hasina-hamad.html
Monday, 8 February 2010. My name is Hasina Hamad Shehe working for Radio Zanzibar – Sauti ya Tanzania Zanzibar (STZ). I am a Radio producer cum announcer and news reader. On Monday 8 February 2010 I participated in the Internet Workshop for Zanzibar Journalist held at State University of Zanzibar (SUZA). I learned How internet has changed societies and communication globally. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. On Friday 12 February we completed the training by.
hebujikinge.blogspot.com
JIKINGE NA UKIMWI: JIKINGE
http://hebujikinge.blogspot.com/2010/02/jikinge.html
Monday, 8 February 2010. Kumbe twaweza. pakiwa na nia na kusaidiana . Najua kila mtu anaweza kutoa mchango wake juu ya kupambana na Ukimwi.Tumezoea tu , tunapotaja Ukimwi kwanza tunafikiri pesa kwamba labda inahitaji mabilioni ya shilingi kupambana na ugonjwa huu tena yatoke kwa wafadhili ambao nao wamekubwa na mtikisiko kama si tetemeko la uchumi. Basi mkabala wa waraka huu utajikita zaidi ni kwa jinsi gani tunaweza kupambana na ugonjwa wa Ukimwi kwa kutafuta suluhisho ambazo ziko ndani ya uwezo wetu.
hebujikinge.blogspot.com
JIKINGE NA UKIMWI: uzalendo kwanza
http://hebujikinge.blogspot.com/2010/02/uzalendo-kwanza.html
Friday, 12 February 2010. Friday, February 12, 2010. Subscribe to: Post Comments (Atom). Peik and internet world. Unaonaje mwelekeo wa tovuti hii? Chake-chake, Zanzibar, Tanzania. NI juu ya mimi na wewe tupambane na Ukimwi. Mi ni Ally Mbarouk ,mtansia ya uandishi wa habari Contact: almambry@yahoo.ca Tel: 255773176718. View my complete profile. Zaituni Mwakai ,Chuchu. YA VVU PEMBA NA MAJUMBA YA DHAHABU. From journalist to International Space Centre. From Zanzibar to Worlds Legend.
hebujikinge.blogspot.com
JIKINGE NA UKIMWI: JASIRI HATUNAE TENA
http://hebujikinge.blogspot.com/2010/02/jasiri-hatunae-tena.html
Tuesday, 23 February 2010. NA ALLY MBAROUK OMAR. BWANA SALUM ALI SALUM. ZANZIBAR YAPOTEZA SILAHA YA MAPAMBANO YA UKIMWI. SHUHUDA JASIRI ,JEMEDARI HATUNAE TENA. Marehemu Bwana Salum Ali Salum akifungua moja kati ya vikao vya kupambana na UKIMWI. Ya rabi mola mananiiiii …….oooooooooh. Utupe Kinga na tiba. Ugonjwa huu jamaniiii…….aaaaah. Vijana wavitandaniiiii ……….aaaaah. Wao pamoja na baba…ooooh. Sote tuko mashakani ……….eeeeeeh. Ukimwi jama ukimwi …….iiiiiih. Mola tupe , kinga na tiba . Alikua mcheshi mpol...
hebujikinge.blogspot.com
JIKINGE NA UKIMWI: Wangar Maathai, Lulu ya Afrika
http://hebujikinge.blogspot.com/2010/02/wangar-maathai-lulu-ya-afrika.html
Wednesday, 10 February 2010. Wangar Maathai, Lulu ya Afrika. Unaweza kuanza kitu kama utani tu lakini kikawa na mafanikio makubwa sana dunia . Tunakumbuka kuanzishwa kampuni kama microsoft ama TOYOTA ambayo ilikua kama karakana ya familia tu.Leo hii ni makampuni makubwa sana duniani yanayiongiza mabilioni ya shilingi kila mwaka . Basi ndio hivyo ilivyoanza taasisi ya Wanaharakati wa Mapinduzi ya Kijani huko Kenya ama , Green Belt Movement. Wednesday, February 10, 2010. Subscribe to: Post Comments (Atom).
hebujikinge.blogspot.com
JIKINGE NA UKIMWI: From journalist to International Space Centre
http://hebujikinge.blogspot.com/2010/02/from-journalist-to-international-space.html
Friday, 12 February 2010. From journalist to International Space Centre. Its like my birth day . I open up my eyes and look up on sky. My mother came up and give me a laptop .She said to me this is your tool of searching the life.I asked her what can I suppose to do with this laptop.Then she told me open the Blogs . Yes ,ending up Zanzibar internet journalism. Ending love affairs . Thats you can see the new word of bogs from Zanzibar. Friday, February 12, 2010. Subscribe to: Post Comments (Atom).
watotopemba.blogspot.com
education: changamoto kwa wandishi
http://watotopemba.blogspot.com/2010/02/changamoto-kwa-wandishi_09.html
Education is a key of life. Tuesday, 9 February 2010. Ni matarajio yangu kwa mafunzo haya ya internet kwa mud wa siku tano itakuwa ni changamoto kwetu wandishi wa habari kuweza kufanya kazi vizuzi bila usumbufu wa aina yoyote. 4 June 2015 at 18:42. I like it this really good information. 1 August 2015 at 07:13. Perfect perfect fried rice, good post for the beginners as well.Super Prema, loved the presentation very much. Alat Bantu Sex Pria. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile.
watotopemba.blogspot.com
education
http://watotopemba.blogspot.com/2010/02/wanafuzi-wa-kitdato-cha-nne-wamefaniiwa.html
Education is a key of life. Monday, 8 February 2010. Wanafuzi wa kitdato cha nne wamefaniiwa kwa asilimia kubwa kulingana na mara zilizopita hii ni dalili tosha kwamba mwaka huu walimu wamejitahi sana katika kazi yao . Na pia wanafunzi wenyewe nao wamepitisha jitihada kubwa ilikuonyesha ubora wao juu masomo .Hivyo wanafunzi hao pamoja na walimu wao wnastahiki kupewa pongezi juu ya jitihada zao hizo. Subscribe to: Post Comments (Atom). The Green Belt Movemnent is a non Governent Organi.