kafuku.blogspot.com
Deborah.: TWINS WITH THEIR KAKA
http://kafuku.blogspot.com/2009/10/twins-with-their-kaka.html
Friday, 23 October 2009. TWINS WITH THEIR KAKA. Katikati ni kaka yangu jamani, pembeni ni pacha wangu katika graduation yangu - TUMAINI UNIVERSITY IRINGA. Friday, October 23, 2009. RAITON .M. AMBELE. Jamani mmependeza ndugu zangu.Hongera my dear kwa kuhitimu nakutakia maisha mema na mafanikio mbeleni.Mpe hi Bro na Devo maana msela kitambo sijaonana nae tangu 1998.Yuko wapi kwasasa? 21 November 2009 at 19:22. Subscribe to: Post Comments (Atom). HERI YA MWAKA MPYA WAPENDWA WANGU! View my complete profile.
kafuku.blogspot.com
Deborah.: Maadhimisho ya miaka 30 ya ndoa.
http://kafuku.blogspot.com/2008/10/maadhimisho-ya-miaka-30-ya-ndoa.html
Thursday, 23 October 2008. Maadhimisho ya miaka 30 ya ndoa. Thursday, October 23, 2008. Subscribe to: Post Comments (Atom). HERI YA MWAKA MPYA WAPENDWA WANGU! Mmoja unasema tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Karibuni tena katika. Blog hii ambayo inatoa matukio katika picha. ni mwaka mwingine tena tunaanza kwa. Amani kabisa. Heri ya mwaka mpya! I am a twin mate of someone called Devotha. i am a Tumaini University student. I have four brothers with four sisters. View my complete profile.
kafuku.blogspot.com
Deborah.: JAMANI NIMEGRADUATE
http://kafuku.blogspot.com/2009/10/jamani-nimegraduate.html
Wednesday, 21 October 2009. Kwa mamlaka niliyopewa nakutunuku shahada ya kwanza ya UANAHABARI wewe DEBORAH ROBERT na MUNGU akubariki" alisema ALEX MALASUSA mkuu wa vyuo vya Tumaini Tanzania. Wednesday, October 21, 2009. Subscribe to: Post Comments (Atom). HERI YA MWAKA MPYA WAPENDWA WANGU! Mmoja unasema tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Karibuni tena katika. Blog hii ambayo inatoa matukio katika picha. ni mwaka mwingine tena tunaanza kwa. Amani kabisa. Heri ya mwaka mpya!
kafuku.blogspot.com
Deborah.: DEGREEEEEEEE!
http://kafuku.blogspot.com/2009/10/degreeeeeeee.html
Friday, 23 October 2009. Friday, October 23, 2009. RAITON .M. AMBELE. Dada yanu pozi tamu hilo ulikuwa unashangaa nini ati.au ndio ulikuwa umeitwa. 21 November 2009 at 19:24. Subscribe to: Post Comments (Atom). HERI YA MWAKA MPYA WAPENDWA WANGU! Mmoja unasema tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Karibuni tena katika. Blog hii ambayo inatoa matukio katika picha. ni mwaka mwingine tena tunaanza kwa. Amani kabisa. Heri ya mwaka mpya! View my complete profile.
kafuku.blogspot.com
Deborah.: Wanafunzi wa Ashira Girls
http://kafuku.blogspot.com/2009/09/wanafunzi-wa-ashira-girls.html
Friday, 25 September 2009. Wanafunzi wa Ashira Girls. Nasisi tutakuwa member wa YWCA, Wanafunzi wakijiandaa kupokea wageni wa YWCA ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50. Tulikwenda Ashira ikiwa ni kumbukumbu ya na kuenzi mahali hapo ambapo YWCA ilianzishiwa hapo. Friday, September 25, 2009. Subscribe to: Post Comments (Atom). HERI YA MWAKA MPYA WAPENDWA WANGU! Mmoja unasema tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Karibuni tena katika. Amani kabisa. Heri ya mwaka mpya! View my complete profile.
kafuku.blogspot.com
Deborah.: PANDA MTI BABA
http://kafuku.blogspot.com/2009/10/panda-mti-baba.html
Friday, 23 October 2009. Mkuu wa bodi ya Shule ya wasichana Ashira akipanda mti shuleni hapo ikiwani ishara ya kuadhimisha miaka 50 ya YWCA Tanzania yaliyofanyika Moshi. Friday, October 23, 2009. Subscribe to: Post Comments (Atom). HERI YA MWAKA MPYA WAPENDWA WANGU! Mmoja unasema tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Karibuni tena katika. Blog hii ambayo inatoa matukio katika picha. ni mwaka mwingine tena tunaanza kwa. Amani kabisa. Heri ya mwaka mpya! View my complete profile.
kafuku.blogspot.com
Deborah.: UDONGO MGUMU HUU!!
http://kafuku.blogspot.com/2009/10/udongo-mgumu-huu.html
Friday, 23 October 2009. Raisi wa YWCA Tanzania Mrs Rosemary Mapagala akipanda mti shule ya Wasichana Ashira katika maadhimisho ya miaka 50 ya YWCA Tanzania. Friday, October 23, 2009. Subscribe to: Post Comments (Atom). HERI YA MWAKA MPYA WAPENDWA WANGU! Mmoja unasema tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Karibuni tena katika. Blog hii ambayo inatoa matukio katika picha. ni mwaka mwingine tena tunaanza kwa. Amani kabisa. Heri ya mwaka mpya! View my complete profile.
kafuku.blogspot.com
Deborah.: WATARUDI KUJA KUCHUKUA WAKE ZAO.
http://kafuku.blogspot.com/2009/09/watarudi-kuja-kuchukua-wake-zao.html
Friday, 25 September 2009. WATARUDI KUJA KUCHUKUA WAKE ZAO. Habarini za siku ndugu zangu, wakubwa zangu shikamooni. Namshukuru Mungu kwa nguvu na uweza wake kunifanya mzima wa afya mpaka leo hii ninapofurahia kuongea nanyi. Pamoja na kwamba hatujazungumza kwa muda mrefu ninayo mengi sana ya kuwaeleza, maana nimetembea kwingi na nina habari nyingi. Na leo napenda kuongeea na wasichana wenzangu ambao hatujaolewa. Hatupo tayari kudhalilishwa hivyo, tena napinga kwa herufi kubwa HATUTAKI. Kama kwa Afrika...
kafuku.blogspot.com
Deborah.: Nimerudi! Mnisamehe sana wadau!
http://kafuku.blogspot.com/2008/10/nimerudi-mnisamehe-sana-wadau.html
Friday, 24 October 2008. Kwanza kabisa mimi nahitaji msamaha wenu kwa kukaa kimya muda mrefu! Wapenzi wangu nilikuwa nimetightiwa sana na masomo lakini kwa sasa namshukuru Mungu kwani yeye pekee ndiye muweza wa yote aniwezeshaye kufanya mengi mnayoyaona leo. Nawaahidi kuwa kwa sasa nimerudi kuwapatia kile ambacho ni halali yenu kupata ambacho ni habari katika picha. Asanteni kwa kunvumilia na kunitumia comments zatu za kunijulia hali na maisha kwa ujumla. Friday, October 24, 2008. View my complete profile.