viwanjani.blogspot.com
Viwanjani (nini kimejiri leo Maximo?): December 2014
http://viwanjani.blogspot.com/2014_12_01_archive.html
Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00. TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI. Thursday, December 25, 2014. SUPER D BOXING COACH AMSAIDIA VIFAA MUSSA CHITEPETE WA SONGEA. Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D. Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D katikati akionesha vifaa alivyompatika Mussa Chitepete wa Songea kushoto kulia ni mdau wa. Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila...
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: May 2015
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2015_05_01_archive.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Thursday, May 21, 2015. MASHABIKI WA SOKA WAHUDHUNISHWA NA MATOKEO YA TAIFA STARS KWENYE COSAFA CUP. Timu ya mpira wa miguu Tanzania(Taifa stars)inayoshiriki michuano ya COSAFA nchi ni Afrika kusini,. Huku wengine wakisema ni bora timu ipewe mwalimu mzawa kuliko walimu wa nje ambao hawana mabadiliko yeyote kwa timu na wengine wakimkumbuka Marcio Maximmo kuwa alileta hamasa kwa timu ya Taifa na hivyo kuifanya iwavutie watu...
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: September 2014
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2014_09_01_archive.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Monday, September 29, 2014. YANGA SASA YAANZA LIGI. Baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa kufungwa na Mtibwa Sugar wiki iliyopita,Yanga wamefanikiwa kupata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Tanzania Prison ya Mbeya kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa Dar es salaam. Katika mchezo mwingine huko Chamazi Complex timu ya Kagera Sugar iliibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya JKT Ruvu. Monday, September 29, 2014. Kumekuwa na ki...
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: TAIFA STARS UWANJANI TENA LEO KUPAMBANA NA MADAGASCAR
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2015/05/taifa-stars-uwanjani-tena-leo-kupambana.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Wednesday, May 20, 2015. TAIFA STARS UWANJANI TENA LEO KUPAMBANA NA MADAGASCAR. Timu 12 kati ya 14 kutoka nchi wanachama wa COSAFA tayari zipo nchini Afrika Kusini kuchuana katika mashindano hayo. Angola na Comoro ambazo ni wanachama wa COSAFA hazikuweza kushiriki mwaka huu. Kundi A lina timu za Zimbabwe, Namibia, Seychelles na Mauritius. Ambapo kundi B lina timu za Madagascar, Lesotho, Swaziland na Tanzania. Timu za juu ...
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: October 2014
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2014_10_01_archive.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Wednesday, October 29, 2014. RAIS WA ZAMBIA MICHAEL SATA AFARIKI JIJINI LONDON. Akiwa mwenye sauti ya mkwaruzo yakiwa ni matokeo ya kuvuta sigara kwa muda mrefu, Bwana Sata aliibuka katika siasa na kupata umaarufu katika miaka ya 1980. Haraka akapata sifa ya kuwa gavana mwenye kuchapa kazi kwa bidii, wakati akiongoza jimbo la Lusaka na mtu wa utekelezaji kwa vitendo. Baada ya Levy Mwanawasa. Wednesday, October 29, 2014.
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: Kipindupindu chaua wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2015/05/kipindupindu-chaua-wakimbizi-wa-burundi.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Wednesday, May 20, 2015. Kipindupindu chaua wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania. Wakimbizi wa Burundi wakiwa katika kijiji cha Kagunga mkoani Kigoma,Tanzania, May 17, 2015. Waandamanaji wanaompinga Nkurunziza, May 13, 2015. Kulingana na taarifa ya kamati ya kimataifa ya uokozi-IRC ni kwamba kijiji cha Kagunga kimezungukwa na milima hivyo basi wakimbizi lazima wasubiri boti ambayo ni chakavu yenye takribani miaka 100 na k...
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: November 2014
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2014_11_01_archive.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Tuesday, November 11, 2014. ZAMBIA IS HOLDINGS A STATE FUNERAL FOR PRESDENT MICHAEL SATA WHO DIED LAST MOUNTH IN A UK HOSPITAL AT THE AGE OF 77. There was a deafening wailing when the coffin come into the stadium. Tens of thousands of people are attending the Catholic mass of the National Heroes Stadium in the Capital,Lusaka. Regional leaders are amongst those who have come to pay their respects. Tuesday, November 11, 2014.
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: February 2015
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2015_02_01_archive.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Monday, February 09, 2015. IVORY COAST BINGWA WA AFRIKA 2015. Timu ya Ivory Coast wakishangilia ubingwa wa Afrika 2015. Wilfred Bon akiwa amembeba golikipa Boubacary Barry wa Ivory Coast baada ya kuokoa penati na kuifungia timu yake penati ya mwisho. Nahodha wa Ivory Coast Yaya Toure akiwa na wenzake wakishangilia ubingwa wa Afrika. Mshambuliaji wa Ivory Coast Wilfred Bon akijaribu kumtoka mlinzi wa Ghana. Mbunge wa jimbo...
SOCIAL ENGAGEMENT